Mzee wa masauti, Christian Bella azidi kuleta shida ktk mziki wa bolingo/bongofleva kwa kuzidi kuendelea kuporomosha vibao vikali redioni na katika televisheni.
Msaliti ni moja kati ya ngoma zenye ujumbe na inafanya vizuri kila sehem ya Tanzania.
Hii hapa
0 comments: