Audio: Mchaji Halisi - Kidotidoti
Huwa ni mara chache sana kuwa na msanii hapo hapo akawa mtayarishaji wa midundo a.k.a producer.
Anaitwa Mchaji Halisi, na hii hapa ndo ngoma yake "KIDOTIDOTI" akiyofanya mwenyewe ktk studio za Galaxy Records zilizopo Magomeni, Dar es Salaam.
0 comments: