Interview ya One Six na Manager wa BIORN Production, ABM Radio 91.2 Kuhusu "MAYA"
Ili kuondoa utata wa bifu ya pande mbili, Dj Rodger wa ABM Radio 91.2 Dodoma katika kipindi cha Mitwango Show akaamua kuwapigia simu One Six na msimamizi wa studio ya BIORN ya Maili Mbili Dodoma ndugu Moo G kujua kulikoni.
Hii hapa Interview
0 comments: