Kitu Kipya cha Malaika, ndani ya Radio One Stereo Leo
Malaika anategemea kuachia ngoma yake mpya iendayo kwa jina la "Nenda".
Ngoma hiyo inategemea kutambulishwa leo j4 saa 5 asubuhi tarehe 23.9.2014 ndani ya Radio One Stereo.
Hebu fanya kutune basi mida hiyo
Usimiss hii kitu weweeeeeeeeeeee
0 comments: