Entertainment, News and Gossip - In and Out of Tanzania
CONTACT: Email | focusbongo@gmail.com
New Audio: DDC - Mazishi
Ngoma mpya ya jamaa wa kuitwa Dom Down Click a.k.a DDC "Mazishi" iliyofanywa na producer Lil Bello a.k.a Maco Chali wa Dodoma hii hapa. Humu kuna Adam Shule Kongwe, Goda, Sali Flow, Andre K, Slogan, Miracle, n.k
0 comments: