New Audio: Esco Dee ft. One Six - Mheshimiwa Spika

Mkali wa bongofleva anayetamba na ngoma ya Maya, ONE SIX, afanya bonge la kiitikio katika ngoma ya rapper Esco Dee.
Bongo Focus na team nzima ilifanikiwa kutembelea studio za BIORN zilizopo Maili 2 Dodoma, na kusikiliza ngoma hiyo iliyofanywa na Dash Touches, na kuona vema kuitupia mtandaoni ili wadau wapate ladha.
Ubunifu wa hali ya juu umefanyika ktk uandishi wa mashairi wa ngoma hiyo.
Esco Dee ni mmoja kati ya marapper hatari sana Dodoma na Dsm.
Hii hapa ngoma yake


0 comments: