New Audio: Wise One - Kidogo
Staili mpya ya mziki mjini Dodoma imeingia. Hii ni moja kati ya ngom zenye staili kali sana. Inaitwa "Kidogo" ya Wise One, imefanyika ndani ya Dreams Records na mtayarishaji Sailas.
Big Up kwa Wise One na wote walio wake, ngom kali sana.
0 comments: