New Audio: Ngwate - Nipe Raha

Msanii mwingine kutoka Dom, Ngwate na ngoma yake "Nipe Raha" iliyofanywa na mtayarishaji D Boy.
Pia Ngwate yuko mbioni kuachia video ya wimbo huo iliyofanywa na muongozaji Erick Backamaza.
 

0 comments: