Video: Victoria Kimani ft. Diamond & Ommy Dimpoz - Prokoto

Wasanii wa Afrika wameendelea kufanya vizuri kwa kuendelea kushirikiana ktk nyimbo zao na kufikisha kazi nje na ndani ya Afrika.
"Prokoto" ya Victoria Kimani ni kati ya ngoma/video kali aliyofanya na wakali kutoka Tanzania, Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz.
Mziki mzuri toka kwa wasanii wazuri.
Hii hapa


0 comments: