Audio: Meck Bizzo ft. Madaraka - Why
Ngoma flani ya kuitwa "WHY" toka kwa wakali wawili kutoka Dom, Meck Bizzo akimshirikisha Madaraka.
Video ya wimbo huu ilitoka lakini haikuweza kufanya vizuri kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wa wahusika, ila wimbo wake mzuri.
Big Up Meck Bizzo.
0 comments: