Audio: Watawala na Ukoo - Not Your Savior

Hii ngoma ya jamaa wa kuitwa "Watawala na Ukoo" na mzigo unakwenda kwa jina la "Am Not Your Savior" wakitokea Dodoma na ngoma imefanyika pale AJ Records.
Ngoma ipo ktk mixtape ya Street Identity.
Pia washawahi kufanya ngoma kama Tunauza Sokoni, Spit Knowledge, Evolution of Lost Tape, n.k

0 comments: