New Audio: Bizo Mc ft. Double - Simple Tu

Ni kutoka kwa mkali aliyewahi kutamba na club benga "Sawasawa", hii sasa ni nyingine.
Ngoma inaitwa "Simple Tu", na Mnyama Double a.k.a Double the Doctor amesimamia mzigo kisawasawa.

0 comments: