New Audio: Hussein Machozi - Mdogo Mdogo
Baada ya kutamba na ngoma kali aliyoifanya na CPwaa au C 2 the P "Ready To Go" pale Kali Nation Studio kwa Jaysson, Hussein Machozi aachia ngoma nyingine.
MdogoMdogo ndo ngoma yake mpya kwa sasa, na watu, mashabiki na watu wa mitandao na redio wanajaribu kuipambanisha na ngoma ya Diamond Platnumz. Mdogomdogo.
Wajua Ipi Kali?
Sikiliza mwenyewe

0 comments: