New Audio: Raph Tz ft. One Six, Uncreakable & Miracle - I Can

Hii hapa ni moja kati ya ngoma kali za Raph Tz ambayo ameona bora aiachie baada ya kuwa imeshaanza kuchezwa redio kadhaa za Dodoma.
Ngoma imetengenezwa na Lil Bello kutoka pale AJ Records, humo ndani yupo Raph Tz na wakali watatu, Miracle, Uncreakable wa RAP Nation na Miracle wa CMA.
Raph Tz ameona japo hakutaka iwe hivyo, acha tu iende kwa sababu hata wasanii wakubwa waliotangulia nao wanafanya hivyo hivyo akiwemo Professor Jay.


0 comments: