New Audio: Paroko Mc - Welcome 2 Ma Hood

Dodoma Stand Up.

Huyu hapa jamaa wa kuitwa Paroko Mc na bonge ya ngoma toka kwa kwa Kid Man ndani ya B1 Records, which goes by the name of "Welcome to Ma Hood"

Fanya kama unabofya hapa chini usikilize au ku-download.

0 comments: