Video: Wynem ft. Linex - Japo Kidogo
"Ukiniona nimeinua mkono, ni ishara ya kuomba...
Kama unacho nipe japo kidogo, kwa Mungu nitakuombea...
Kuliko kupita bila kunitazama, nitaona kama vile wanipuuza..."
Hiyo ni baadhi ya mistari ya kiitikio cha wimbo "Japo Kidogo" wa Wynem aliyofanya na Linex chini ya mtayarishaji Villy.
Ngoma inahusu mayatima na wote wenye shida ambao wanahitaji msaada, inagusa sana.
Video imefanywa na Bon.
Hii hapa
0 comments: