Hall C, ndo SuperNyota Diva, Dodoma 2014
Baada ya kuwabwaga wababe wakali wa tasnia ya mziki kwa upande wa kike Dodoma, hatimae mwanadada kutoka B1 Records kwa Kid Man, Hall C aibuka kidedea kutwaa taji la Super Diva Nyota wa Fiesta 2014 leo siku ya Jumapili, Oktoba 5, 2014.
Kila aliyekuwepo katika kinyang'anyiro hicho cha kutafuta Superdiva wa Fiesta 2014, alikubali kuwa Hall C alistahili kupata taji hilo kwenda kuiwakilisha Dodoma huko Dar es Salaam ambako ndipo fainal za kumtafuta SuperNyota zitafanyika siku ya tarehe 18 Oktoba, 2014.
Hall C amewabwaga kina Koku, Teidy Wizzy na wengine wengiiiiiiiiiiiiii.
Bongo Focus na timu nzima inampa hongera nyingi Hall C kwa kazi nzuri
0 comments: