Audio: Mekstar ft. D Touches - Give 2 Me

Mekstar ni mmoja kati ya wasanii wazuri sana wa bongofleva kutoka Dodoma.

Hii hapa kazi yake inaitwa "Nimeshindwa" iliyofanywa na mtayarishaji D Touches katika studio za AJ Records, Area C/D, Dodoma.

Kama unapenda mziki mzuri, basi msikilize Mekstar

0 comments: