Lilian Kamazima Ndo Miss Tanzania Mpya 2014, Baada ya Sitti Mtemvu Kuvua Taji
Baada ya Sitti Abbas Mtemvu aliyetunikiwa taji la Redds Miss Tanzania 2014 kuandamwa na skendo ya umri na suala la mtoto, hatimae aamua kumwaga manyanga juu ya taji hilo ndani ya hoteli ya JB Bellmonte.
Hatimae taji hilo ametunukiwa mwanadada Lilian Kamazima aliyekamata nafasi ya pili.
Hata hivyo bado mashabiki wanasema kuwa Lilian Kamazima eti ni Mnyarwanda, sio mTanzania.
Sitti Mtemvu aliyekuwa miss Tanzania
0 comments: