New Audio: Dabo - Dem Callin

Hii hapa ragga toka kwa Dabo, mzigo unakwenda kwa jina la "Dem Calling" umefanyika RockTown Records na mtayarishaji ni Dabo mwenyewe.

Dabo ameshawahi kuchukua tuzo za Sweet Reggae katika Kilimanjaro Music Awards.

0 comments: