New Audio: Nuh Mziwanda - Msondo Ngoma (Refix)
Moja kati ya vitu ambavyo Lamar huwa anafanya katika nyimbo za wasanii ni kuzitengenezea "Refix", kuiweka nyimbo katika mfumo wa club benga za kiDj ili iwe na ladha tofauti na ile ya mwanzo.
Hiki ndo kilichofanyika katika "Msondo Ngoma" ya Nuh Mziwanda "Baba Shishi" ambayo mwanzoni ilifanywa pale Mazuu Records.
Lamar ni moja kati ya watayarishaji wanaofanya vizuri katika utengenezaji wa nyimbo za bongofleva.
Hebu sikia
0 comments: