New Audio: Yesu na Wanawe - Sugua Gaga (Remix)

Wakiwa wanawakilisha mkoa wa Kilimanjaro, Kili Voice a.k.a "Yesu na Wanawe" wamepata nafasi ya kueleweka sana na mashabiki kwa umahili wa kufanya remix za nyimbo za wasanii wa bongofleva wakizipeleka katika dini.




Walianza na "NISEME" ya Mkubwa na Wanawe (Yamoto Band) sasa wamekuja na Sugua Gaga iliyofanywa na Shaha.

Hii hapa "Sugua Gaga" remix.



0 comments: