New Audio: Yunar - Nitulie

Kama unapenda sauti nzuri basi Yunar ni mmoja kati ya wadada wenye sauti nzuri sana.

Wimbo unaitwa "Nitulie" umefanyika Riyamy Studio chini ya Minyo Masonge.

Kama utakumbuka, Minyo pia alimfanyia Suma Mnazalet wimbo wa "Kichefuchecu"

0 comments: