New Audio: Sweet Florencia ft. Mekstar - Niache

Moja kati ya wanadada wanaojitahidi katika ramani ya muziki wa bongofleva kutoka Dodoma ni Florencia a.k.a Sweet Florencia.

Na hii hapa ni ngoma yake aliyofanya na jamaa wa kuitwa Mekstar, inakwenda kwa jina la "Niache", imefanyika pale AJ Records chini ya D Touches.

Mekstar nae anatokea Dodoma na inasemekana amechangia kiasi kikubwa kwa ufanyikaji wa "NIACHE" ya Sweet Florencia.








Huyu hapa Mekstar





















Mekstar na Sweet Florencia


0 comments: