New Video: Jambo Squad ft. Nakaaya - Naarendu

Ha ha ha ha hiii hapa video toka kwao wenye mziki wa tofauti wakiwakilisha mkoa wa Arusha, Jambo Squad wakiwa na Nakaaya, mzigo unaitwa "Naarendu".

Video imefanywa na Defextro



0 comments: