New Video: Kona King ft. One Six - Umependeza

Akiwakilisha kundi la muziki la hiphop, Central Zone, anaitwa Kona King na hii hapa ni video yake mpya inayokwenda kwa jina la "Umependeza"
 
Kona King akishirikiana na One Six, chini ya mongozaji Nicklass, ndo video hii ilivyofanyika.
 
Hebu angalia
 

0 comments: