New Audio: Javan - Mtaa wa Matukio

Akitokea Dom Down Click (DDC), jamaa anaitwa Javan na hii hapa ngoma yake mpya ya kuitwa "Mtaa wa Matukio".

Ngoma imefanyika pale AJ Records chini ya producer Lil Bello.

Hiphop is here....Listen

0 comments: