Audio: Ainea ft. Dullayo - Judy

Kama kawaida, mzee wa Sina Mpango Nae a.k.a Mr Somebody huwa hakosei katika kazi afanyazo.

Judy ni moja kati ya kazi zake zinazoeleweka. Ikiwa kamshirikisha Dullayo, haina siku nyingi tangu itoke.

Mzigo umefanyika pale Eck Production, Mwembechai, Dar es Salaam chini ya mtayarishaji Eck.

Hebu fanya kusikiliza na kushare na wote popote walipo

0 comments: