New Video: BOB Micharazo - Kazi Kwanza

BOB Micharazo waachia bonge moja la video la ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la "Kazi Kwanza"

Audio imefanywa na Maco Chali, MJ Records.

Video imefanywa na Adam Juma, na huku chorus ya ngoma hiyo ikinogeshwa vema kabisa na Becka Title.

Kama umjuavyo Becka Title huwa hakosei, alifanya chorus kali katika "LULU" ya Rai Classic na "Shut Up Kimya" ya BOB Micharazo.

Hebu ona mwenyewe ngoma ya hawa majamaa

0 comments: