New Video: Mesen Selekta - Sweet Love

Kutoka Shine Studio, hii hapa video mpya ya Mesen Selekta, ngoma inaitwa "Sweet Love'

Mesen amewahi pia kutamba na video ya wimbo wake Kanyaboya. Licha ya kuwa mtayarishaji mzuri wa mziki hasa bongofleva, Mesen ameonekana kuwezea sana game ya bongofleva hasa upande wa uimbaji.

Hebu check

0 comments: