Audio | Chris ft. K4 - Mbele Kwa Mbele

Hii hapa ngoma ya kwake msanii na matayarishaji wa nyimbo za bongofleva, Chris FrayKay.

Ngoma inaitwa "Mbele kwa Mbele", humu ndani ameshirikishwa K4 na mzigo umefanyika ndani ya Kali Nation studio na mtayarishaji ni Chris mwenyewe

0 comments: