New Audio | Jojo - Nakuhitaji

Mmoja kati ya wasanii wakali wanaochipukia katika mziki wa bongofleva basi Jojo a.k.a Sabra naye yumo.

Jojo anayependa kujiita Le Swit, amefanya moja kati ya ngoma kali sana zilizowahi kufanyika katika studio ya Kali Nation ya Kijitonyama, Dar es Salaam.

"Nakuhitaji" ndo jina la wimbo, na Jaysson ndo amesimama katika beat na mixing ya wimbo mzima.

Huyu hapa Jojo a.k.a Sabra na Nakuhitaji ndo habari ya mjini kwa sasa

0 comments: