New Video | Joh Makini - Don't Bother ft. AKA

Hii hapa video mpya ya kwake jembe la Hiphop toka Tanzania akiwakilisha Weusi, yule King wa Kaskazini, Joh Makini.

Ngoma inaitwa "Don't Bother" akiwa ameshirikishwa AKA, na video imeongozwa na Justin Campos huko Afrika Kusini.

Watch and Enjoy

0 comments: