Video | BOB Micharazo - Sio Kinyonge

Baada ya kutengana na Mr Blue a.k.a Babylon Byser na Nyandu Tozzy, kundi la muziki la BOB Micharazo liliamua kuendelea na kazi zake za muziki.
Na hii hapa, "SIO KINYONGE" ni moja kati ya ngoma yao walioachia baada ya kutengana kwao na wasanii Blue na Nyandu.
Humu ndani yupo Becka Title, Blood Gazza, Chriss the Don, Uswege, Bobby Mc na wengine na kuendelea kuimarisha uwepo wa kundi hilo.
Video ni kali na imeongozwa na  Nestor.

0 comments: