Video | D Moe - Bembea

Bembea ilikuwa moja kati ya ngoma kali sana toka kwa D Moe ambae zamani alikuwa akitumia jina la Deemo.
Video iliongozwa na Black X ambae anaiwakilisha Dodoma vizuri sanaaaaaaaaaa katika tasnia ya picha mtembeo.

All the way from Dom Town, msanii na video director wake, hii hapa BEMBEA....

0 comments: