Video | Innoss' B ft. Diamond Platnumz - Yope (Remix)

Hii ni moja ya collabo kali na kati ya video yenye waangaliaji wengi (VIEWERS) kupitia mtandao wa kijamii wa YOUTUBE.
Ni YOPE ya kwake Innoss' B akimshirikisha Diamond Platnumz.

Hadi kufikia siku ya Jumatano ya tarehe 18 Desemba 2019, saa 4 na dk 8 asubuhi, tayari ilishaangaliwa na watu 42,805,989 .

Video imeongozwa na Kenny kutoka Tanzania


0 comments: