New Audio | Raph Tz x BOB Micharazo - Tunafanya

Baada ya kimya kirefu, kundi la hiphop na bongofleva toka jijini Dar es Salaam la BOB Micharazo, limekuja na ngoma yao mpya likishirikiana na msanii Raph Tz "King wa Banda".

Ngoma iliyopewa jina la "TUNAFANYA" imefanyika ktk studio ya THE DON RECORDS ya Mabibo, Dar es Salaam chini ya mtayarishaji Geof Master akishirikiana na Plumber 'Mwezi'.


Ngoma hiyo imechomoa vichwa vitatu toka BOB Micharazo yani, msanii Becka Title, Blood Gazza na Uswege Master kwa pamoja walifanya poa sana humu ndani.
Enjoy


0 comments: