New Video | Mwambie - Raph Tz ft. Mansu Li & One Six

Moja kati ya video ya msanii anayekuja kwa kasi katika BongoFleva basi ni ya ngoma "Mwambie" ya kwake Raph Tz akiwa na One Six na Mansu Li.

Video imefanywa na Dee Moolah wakati audio ya ngoma hiyo imepikwa pale The Don Records na mkali wa kuitwa Daddy.

Enjoy good music

0 comments: