Audio: Ghetto Ambassador - Yai Bovu

Yai Bovu ya Ghetto Ambassador kutoka Lunduno ni moja kati ya ngoma kali sanaaa. Ukisikiliza utunzi wa mashairi ya ngoma hiyo, utaelewa nachokimaanisha aisee.
Ngoma imefanyika pale G Sound Records, Kisasa - Dodoma chini ya Mnyama Double Y ama Double the Doctor.
Unapenda hiphop? Basi sikiliza hii.


0 comments: