Audio: Hussein Yamodel - Maisha ni Bahati
Kama ushawahi kusikia nyimbo za bolingo zenye ujumbe na ladha nzuri, basi "Maisha ni Bahati" ya Hussein Yamodel ni moja kati ya nyimbo hizo, imefanywa na mtayarishaji Dizzy Mchizi.
Hussein Yamodel ni mmoja kati ya wanamuziki katika bendi ya Saky Stars iliyopo Dodoma.
Sikiliza uenjoy.
0 comments: