Audio: Hussein Yamodel - Nimezaliwa Peke Yangu

Ni kweli kabisa, kila kitu yabidi umuombe Mungu akusaidie mana maisha hayaeleweki. Kama umezaliwa peke yako, jiamini unaweza kwa jina lake yeye.
"Nimezaliwa Peke Yangu" ya Hussein Yamodel iliyofanywa na Dizzy Mchizi ndani ya Pure Records.
Dodoma kuna vipaji vingi sana, na Hussein Yamodel ni mmojawapo akitokea Saky Star


0 comments: