Audio: Koku ft. One Six - Nimechoshwa

Wakali wawili wakishindana katika ngoma moja kutoka Dreams Records. Majibizano flani ya mapenzi, kila mtu akionekana kuchoshwa na ya mwenzie.
Hii hapa "Nimechoshwa" ya Koku akiwa na mkali wa sauti/vocal, One Six, ambae sasa anatamba na kibao chake cha sweet reggae "MAYA" kilichofanywa na Dash Touches.



















One Six



0 comments: