Entertainment, News and Gossip - In and Out of Tanzania
CONTACT: Email | focusbongo@gmail.com
Audio: Man Snepa - Barua
Barua ya Man Snepa ni kati ya ngoma kali za sweet reggae zilizowahi kutengenezwa na Maco Chali wakati yupo Kama Kawa Records kabla hajahamia MJ Records. Ni ngoma iliyofanikiwa hata kuingia Kili Music Awards 2010 akishindana na Hemed (Alcohol), Dabo ft. Mwasiti (Don't Let Go) na Matonya ft. Christian Bella (Umoja ni Nguvu). Hii hapa sikiliza...
0 comments: