Audio: Man Snepa - Suzy
Ukiachilia mbali ngoma yake ya sweet reggae "BARUA" kwa jinsi ilivyofanya vizuri, Man Snepa ameendelea kufanya vizuri kt muziki.
Hii ikapelekea kufanyika kwa "SUZY" ndani ya Combination Sound kwa Man Water. Mziki mzuri na utengenezaji mzuri basi Man Snepa akafanya yake.
0 comments: