Audio: Mbena ft. Mick & Naakai - U Are The Only One

Wasanii chipukizi wanakuja kwa kasi sana na kuna wakati mwingine ukiwaangalie umri wao huwezi amini kabisa kama ni wao ndo wanaimba maneno mazito.
"You Are The Only One" ni moja kati ya ngoma ambazo vijana wanajitahidi kufanya. Imefanyika ndani ya Mavoltage Records, Kahama, Shinyanga.
Hii hapa.


0 comments: