Entertainment, News and Gossip - In and Out of Tanzania
CONTACT: Email | focusbongo@gmail.com
Audio: Muya - Mimi Sio Mtalii
Hata siku moja mapenzi huwa hayajaribiwi na kama hujisikii kuwa ktk mapenzi na mtu ni heri usiharibu hisia za mtu, usimfanye mtalii wa kuja na kuondoka. "Mimi Sio Mtalii" ya MUYA inaeleza vema suala la mahusiano. Ndani ya Dreams Records, mzigo umefanywa na Sailas ndani ya Dodoma. Muya ni mmoja kati ya wasanii wakali wenye sauti nzuri sana. Hii hapa.
0 comments: