New Audio: Raph Tz ft. Double - Neria Hiphop Version

Sikiliza au download wimbo "Neria Hiphop Version" wa Raph Tanzania aliofanya na Double, pia Double ndo producer wa wimbo huo.
Kama unakumbuka, Neria ilikuwa kati ya nyimbo zuri sana na za kihistoria zilizowahi kufanyika Africa, ilifanywaga na Oliver Mtukudzi.
Raph amefanya wimbo huo kwa madhari ya movie ya "NERIA" ya 1993 ya nchini Zimbabwe.


0 comments: