Audio: Nuh Mziwanda - Bwege Mtozeni
Umaaruufu au kufanikiwa kwa jambo lolote huwa hauji hivi hivi, bali kwa kujituma na kuongeza bidii kwa kile ufanyacho.
Bwege Mtozeni ni ngoma iliyoanza kumtambulisha Nuh Mziwanda a.k.a Baba Shishi kipindi yupo DarStamina International.
Badae ikafuata "Otea Nani" na sasa Nuh anatamba na "Msondo Ngoma"
Cha kwanza cha kwanza tu....hii hapa.
0 comments: