Audio: Jaco Beatz - Walionuna
Hakuna atayekataa kwamba Jaco Beatz ilikuwa halali kupata u-supernyota wa Dodoma, hii ni kutokana na kwamba amekuwa akifanya kazi nzuri sana katika muziki.
"WALIONUNA"......ndo baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasssss tena, ni moja kati ya ngoma ambazo ukisikiliza utasema kuwa Jaco si msanii mdogo kabisa.
Japo ngoma hii ilikuwa na msukosuko wa kuvurugika kwa video yake iliyotakiwa kukamilishwa na Abby Hencer "The Cinematographer", lakini hadi leo ukiisikiliza utaamini kuwa, Jaco is of the next level.
Toka Choice Records chini ya Berry K.
Hii hapa.
0 comments: