Audio: Bizo Mc ft. Double - Sawasawa

Kama ushawahi kusikia mziki mzuri na ngoma za Club Benga, basi huwezi kusahau kuitaja "Sawasawa" ya Bizo Mc. Ngoma ilifanyika pale G Sound Records kwa Mnyama Double, ni kali ile mbayaaaaa.
Bizo ni rafiki wa karibu wa Suma Mnazalet ambae aliwahigi kutamba na ngoma "Chukua Time" aliyofanya na Ommy Dimpoz.
Huyu hapa Bizo msikie.


























0 comments: